Description
Utasikilizwa matatizo yako yote, na utashauriwa kulingana na hayo matatizo, utafundishwa(coached), utapewa package ya maombi kulingana na tatizo, na kufuatiliwa kwa karibu.
Hii package ni 2 hours/ 1 Month
Changia 50,000 Tsh, kwa ushauri, mafunzo na maombi kwa mda wa miezi 3 (2 hours/ 1 Month)
Reviews
There are no reviews yet.